Ligi kuu kanda ya ziwa, Kagera Sugar na Stand leo
Mwadui Fc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Toto Africans ya Mwanza hapo jana Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga katika michuano maalum ya timu za Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara za Kanda ya Ziwa.