Ugunduzi wa madini ya dhahabu Bahi wazua tafrani
Wakazi wa vijiji vya Chikola, Mpinga na Tulugano vilivyoko wilayani Bahi mkoani Dodoma wameitaka Wizara ya nishati na Madini kupeleka maofisa wake katika eneo hilo kufuatia kuwepo kwa taarifa za kugundulika kwa madini ya dhahabu.
