THBU yavitaka vyombo vya uchaguzi kusimamia haki
Tume ya haki za binadamu na utawala bora umevitaka vyombo vinavyosimamia uchaguzi mkuu ikiwemo Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC na ile ya Zanzibar ZEC kutenda haki ili uchaguzi uwe huru na haki na kudumisha amani ya nchi.

