Tumeiandaa timu kushindana sio kushiriki -Magani
Chama cha Mpira wa Magongo Mkoa wa Dar es salaam DRHA kimesema kimejipanga kwa kuhakikisha timu ya taifa inayotarajia kushiriki mashindano ya kufuzu michuano ya Olimpiki ya Afrika inashindana na sio kushiriki mashindano hayo.
