Waandishi wa habari waonywa juu ya uandishi.

Mkufunzi kutoka MCT,Chrysostom Rweyemamu.

Waandishi wa habari nchini, wametakiwa kuandika habari za ukweli, katika kipindi hiki cha uchaguzi na kuepuka uchochezi, ili taifa lisiingie katika machafuko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS