Ney afunguka kuhusu Pam D Msanii Ney wa mitego amefunguka juu ya taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa Bongo Flava mwenye figure matata Pam Dafa, na kusema wao ni marafiki tu. Read more about Ney afunguka kuhusu Pam D