Sekta ya elimu iboreshwe - Wadau

Wadau wa elimu wameitaka serikali ijayo kuboresha sekta ya elimu hususan kuweka mitaala na miundo mbinu thabiti, ili iweze kuwa na tija na kutoa fursa za kujitegemea kwa vijana wengi wanapohitimu masomo yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS