Nitahubiri Amani milele-Dkt. Magufuli

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM.

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mh. John Pombe Magufuli amewataka watanzania kuendelea kuhubiri amani popote walipo kwa kuwa nchi bila amani haiwezi kuwa na maendeleo yoyote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS