Asilimia 80 ya dawa nchini zinatoka nje ya nchi
Serikali kupita Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuwa asilimia 80 ya madawa ya binadamu yanayotumika hapa nchini yanatoka nje ya nchini kutoka na ukosefu wa uwekezaji mdogo wa viwanda vya dawa nchini.
