CHADEMA yazindua uchangiaji kampeni uchaguzi mkuu

Mgombea Urais kuptia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chini ya Mwamvuli wa UKAWA Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Freeman Mbowe

Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana usiku kimezindua zoezi la uchangiaji fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS