Ukusanyaji zao la korosho waongezeka Mtwara
Jumla ya tani 4,000 za korosho zimekusanywa na Chama Kikuu cha Ushirika cha MAMCU kutoka kwa wanunuzi holela wa zao hilo (Kangomba), kufuatia jitihada zinazofanywa na bodi ya korosho Tanzania za kudhibiti ununuzi huo katika maeneo mbalimbali.
