TFF yaahidi ushindi kwa Stars Jumamosi
Shirikisho la soka nchini TFF limesema wanaamini timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itafanya vizuri katika mchezo wake dhidi ya Algeria siku ya Jumamosi kutokana na maandalizi waliyoyafanya katika kambi Afrika Kusini.