Marufuku upikwaji pombe za kienyeji wilayani Bahi

Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, akiongea na wananchi wa Kijiji cha Mtitaa

Wilaya ya Bahi mkoa wa Dodoma, imepiga marufuku upikwaji wa pombe za kienyeji kufuatia wilaya hiyo kukumbwa na ugonjwa kipindupindu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS