Mtwara vijijini walalamikia uongozi wa RITA
Wananchi wa halmashauri ya Mtwara vijijini wamepaza sauti zao kuulalamikia uongozi wa Wakala wa Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA) mkoa wa Mtwara, kutokana na usumbufu wanaoupata katika ufuatiliaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wachanga.