Mechi za kirafiki ni mwalimu mzuri - Kocha Kabange Kocha msaidizi wa timu ya JKT Ruvu, Mrage Kabange amesema wanaamini mechi za kirafiki ni mwalimu mzuri wa kuweza kukiweka kikosi vizuri kwa ajili ya michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Mechi za kirafiki ni mwalimu mzuri - Kocha Kabange