Mashindano ya taifa yatakuza kikosi cha taifa: BFT
Shirikisho la ngumi nchini BFT limesema, mashindano ya taifa yatasaidia kuweza kupata wachezaji watakaoongezea kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na michuano ya kuwania kushiriki mashindano ya Olimpiki RIO 2016.