Serikali yashauriwa kutoa elimu ya Ufundi bure
Katika kuhakikisha nchi ya Tanzania inafikia malengo ya kuwa na uchumi wa kati wadau wa elimu wameshauri kutolewa bure kwa elimu ya ufundi katika vyuo vinavyosimamiwa na mamlaka ya elimu ya ufundi stadi nchini veta.