Wachezaji 36 kushiriki mashindano ya Chess TZ Wachezaji zaidi ya 36 kutoka nchi zaidi ya sita wanatarajia kushiriki mashindano ya wazi ya kitaifa mchezo wa Chess yanayotarajiwa kufanyika Novemba 27 jijini Dar es salaam. Read more about Wachezaji 36 kushiriki mashindano ya Chess TZ