Wimbo wa Ney wa Mitego haufai katika jamii- BASATA Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limetoa majibu yake juu ya wimbo wa msanii Ney wa Mitego, na kusema kuwa wimbo huo haufai kwa jamii, na msanii huyo amejidhalilisha kwa kuimba wimbo huo. Read more about Wimbo wa Ney wa Mitego haufai katika jamii- BASATA