Mwigulu awasili eneo la mapigano yaliyoua mbuzi 75 Mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea katika kijiji cha Kigurukwa, wilayani Mvomero mkoani Morogoro yamesababisha mauaji ya mbuzi 75 waliokatwakatwa kwa mapanga. Read more about Mwigulu awasili eneo la mapigano yaliyoua mbuzi 75