Mkurugenzi Bodi ya Mikopo asimamishwa

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako leo amewasimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB) George Nyatega na wakurugenzi watatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS