Makala ya michezo juu ya upangaji wa matokeo.
Wahenga wanasema Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni ikiwa na maana kwamba haki sawa kwa wote, Katika dunia ya sasa mara kadhaa imekuwa ikionekana kuwa mwenye nacho atabaki kuwa nacho na asiye nacho ananyang’anywa hata kile kidogo alichonacho

