Muundo wa uchumi chanzo cha kushuka kwa shilingi
Utafiti unaeleza kuwa sababu inayofanya Thamani ya Shilingi nchini Tanzania kushuka ni pamoja na muundo wa uchumi wa nchi unaofanya mahitaji ya dola na fedha za kigeni unakuwa makubwa kuliko fedha za Tanzania kwa kuagiza zaidi bidhaa kutoka nje.
