Serikali yaandaa mpango maalum kwa sekta ya mifugo
Naibu waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi, Mhe.William Tate Ole Nasha
Serikali imeandaa mpango mkuu wa sekta ya Mifugo,Kilimo na Uvuvi utakaoongoza upangaji na utekelezaji wa mikakati ya sekta ya mifugo ili kuinua kipato kinachotoka na mifugo na mazao yake.