Jaji wa mahakama ya juu asimamishwa kazi Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi jaji wa mahakama ya juu aliyetuhumiwa kuchukua hongo katika kesi kuhusu kuchaguliwa kwa gavana wa Nairobi. Read more about Jaji wa mahakama ya juu asimamishwa kazi