Msifiche ugonjwa wa kipindupindu - Kigwangala

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa rai kwa viongozi wa mikoa na wilaya, wataalamu na wanajamii kutoficha taarifa ya ugonjwa wa kipindupindu kwani kufanya hivyo kunakwamisha juhudi za kuudhibiti ugonjwa huo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS