Wazee Yanga wataka kadi zote zitumike uchaguzi wao
Baraza la Wazee la Yanga wameliomba Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwakubalia kutumia kadi mbili za zamani na za Benki ya Posta katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.