ROMA
Swali la watu wengi Ujio huu mpya wa msanii huyu ataichana serekali ya Magufuli.?
Roma amewambia mashabiki wake wakae tayari kuupokea ujio wake mpya kwani anaweza akazungumzia kitu chochote kama sukari majipu yanayotumbuliwa au hata uteuzi wa serekali ya kutumbua majipu?
Imezoeleka kwamba Roma ni moja kati ya wasanii machachari ambao mara zote wanapotoa nyimbo za zinatumbua majipu kwa kuzungumzia vitu ambavyo haviendi sawa serekalini,ameamua kuvunja ukimya na kuachia ngoma katika serekali hii.

