Sakata la wanafunzi UDOM lazua tafrani Bungeni
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson amelazimika kuhairisha kikao cha bunge hii leo baada ya wabunge wa upinzani kumgomea wakitaka hoja yao ya kujadili kufukuzwa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma ijadiliwe.