Tutaifunga TP Mazembe- Donald Ngoma Straika wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma. Straika wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, amesema haifahamu sana TP Mazembe ya DRC Congo lakini watakapokutana nayo watahakikisha wanaifunga timu hiyo ili kusonga mbele zaidi katika mashindano hayo. Read more about Tutaifunga TP Mazembe- Donald Ngoma