Waliofukuzwa UDOM wamekuwa kama wakimbizi-Lugola

Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola CCM amesema kitendo cha wanafunzi zaidi ya 7000 kufukuzwa Chuo Kikuu cha Dodoma na kupewa saa 24 kuondoka chuoni hapo kwa makosa yasiyo yao ni kuwafanya wanafunzi hao wakimbizi ndani ya taifa lao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS