Ushindi dhidi ya Misri utaleta heshima - Mkwasa
Kuelekea katika mchezo wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya timu ya Taifa ya Misri, Kocha wa Stars Charles Mkwasa, amesema katika mchezo huo ushindi wa aina yoyote utasaidia kuweka heshima ya Tanzania katika soka.