Kufanya live show ni gharama - Grace Matata. Msanii Grace Matata ambaye anafanya poa kwenye muliki wa live na band jukwaani, amefunguka sababu ambayo wasanii wengi wanashindwa kufanya muziki wa aina hiyo. Read more about Kufanya live show ni gharama - Grace Matata.