Upinzani kumjadili Naibu Spika Tulia-Mbowe

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mbunge wa Hai Freeman Mbowe amesema kwamba kambi rasmi ya upinzani itajadili hoja ya kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson kwa uendeshaji wake wa bunge ambao kambi hiyo hairidhiki

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS