Wabunge sita wa upinzani waadhibiwa na Bunge

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akiteta Jambo la Mbunge Tundu Lissu

Bunge limetoa maazimo ya kuwaadhibi wabunge sita wa Kambi ya Upinzani kutokana na vurugu na utovu wa nidhamu na kutoheshimu kiti wakati wa mjadala wa kujadili bunge kwenda live.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS