Sadio Mane mchezaji ghali zaidi Afrika Klabu ya Liverpool imekamilisha shughuli ya kumsajili Sadio Mane kwa kima cha paundi milioni 34 kutoka katika klabu ya Southampton ambapo hatua hiyo inasababisha yeye kuwa mcheza soka ghali zaidi barani Afrika. Read more about Sadio Mane mchezaji ghali zaidi Afrika