Mpango wa Maendeleo kwa miaka mitano wazinduliwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amezindua mpango wa maendeleo wa miaka mitano na kusema kuwa serikali ya awamu ya tano imejipanga kufufua viwanda vilivyokufa pamoja na kulifufua shirika la ndege la Tanzania kwa kununua ndege mpya.