Serengeti kambini Juni 13 kujiwinda na Shelisheli
Kikosi cha Timu ya vijana ya Taifa ya Tanzania Serengeti Boys kinatarajia kuingia kambini Juni 13 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Shelisheli utakaopigwa Juni 25 mwaka huu Jijini Dar es salaam.