Wafanyabiashara msipandishe bei vyakula vya futari
Wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam wametakiwa kuendelea kuuza bidhaa zao kwa bei ya kawaida katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kuepuka kujiongezea faida isivyohalali kupitia mwezi huu.