Serikali iongeze watalam wa biashara
Serikali imetakiwa kubuni mbinu mbadala zitakazo wezesha nchi kuzalisha na kujitosheleza kwa kuwa na wataalamu waliobobea kwenye sekta ya uhasibu, masoko na biashara ili kuweza kusimamia shughuli za maendeleo ya viwanda nchini.

