Hatugombanii wachezaji,tunasajili vipaji - Kibaden

Kocha wa JKT Ruvu, Abdallah Kibaden

Kocha wa Timu ya JKT Ruvu Abdallah Kibeden amesema, anaamini kikosi cha JKT Ruvu kwa msimu ujao kitaleta ushindani kwani anaanza nacho na atahakikisha anakijenga ili kuwa imara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS