Klabu ya AC Milan imeuzwa kwa Wachina Aliyekua Waziri Mkuu wa Italia na mmiliki wa klabu ya Ac Milan, Silvio Berlusconi amethibitishwa kuuzwa kwa klabu hiyo kwa wawekezaji kutoka nchini China. Read more about Klabu ya AC Milan imeuzwa kwa Wachina