Mhe.Tundu Lissu afunguliwa mashtaka 5 ya uchochezi

Tundu Lissu

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Tundu Lisu na wenzake wanne wamefunguliwa mashtaka matano 5 ikiwemo la kula njama na kuchapisha chapisho la uchochezi, kuchapisha gazeti bila kuwasilisha hati ya kiapo kwa msajili wa magazeti na kutishia amani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS