Mgogoro kiwanda cha Urafiki wamalizika
Mgogoro uliokuwa unakikabili kiwanda cha nguo cha Urafiki kilichopo jijini Dar es Salaam umemalizika baada ya ofisi ya Msajili wa Hazina kufanya mabadiliko ya uongozi kiwandani hapo na kufanya uzalishaji kuendelea kama ilivyokuwa hapo awali.

