Wapangaji wapigwe picha -Simon Sirro

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewataka wamiliki wote wa nyumba kuwa na picha za wapangaji wa nyumba zao ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na uhalifu kutokana na matukio ya uchinjaji yanayoendelea kutokea nchini Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS