Kevin Durrant akiri kuwakera mashabiki wa OKC.
Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu nchini Marekani Kevin Durant amekiri kuwa uamuzi wa kuihama Oklahoma City Thunder na kutua Golden State Warriors umewaudhi wengi lakini hakua na namna nyingine zaidi ya kufanya hivyo.
