Mwana FA

Mwanamuziki Mwana FA amefunguka na kusema kuwa Professor Jay na marehemu Albert Mangwea ndiyo wasanii ambao siku zote amekuwa akiwakubali kutokana na uwezo wao pamoja na kazi kubwa ya kuwafanya watu waamini muziki siyo uhuni bali ni kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS