Mamlaka ishughulikie kero ya miundombinu Ubungo
Katibu wa chama cha wamilikia wa mabasi nchini TABOA bwana Enea Mrutu amesema kituo cha kimataifa cha mabasi Ubungo bado hakijafanyiwa marekebisho yanayostahili ingawa mamlaka husika tayari imepandisha tozo mbalimbali ndani ya kituo hicho.
