Winners Crew
Kundi la Winners Crew limekuwa likishiriki mashindano ya Dance100% tangu kuanzishwa kwake mwaka 2012 na kufika hatua ya fainali mara tatu, wamesema kwamba Dance100% imewafanya watoke nje ya mipaka ya Dar es Salaam na kwenda mikoani kufanya kazi.
