NFRA yaagizwa kwenda moja kwa moja kwa Wakulima

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba,

Serikali imeiagiza wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kanda ya kusini kuhakikisha wanakwenda moja kwa moja kwa wakulima kupitia kata na vijiji kununua mahandi ya wakulima ili kuepusha usumbufu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS